Sharing is Caring

Kampuni ya Royal Dutch Shell imekubali kulipa fidia ya million 111 kufaidi wananchi kule Nigeria kusini kwa kosa la umwagikaji wa mafuta.

 

Hayo mafuta yalifanya uhalibifu wa mazingira kwa miongo mingi kwanzia miaka ya 1970s. 

 

Wenyeji wa Ejama Ebubu katika jimbo la Rivers kule Nigeria ni baadhi ya wale watakao faidika. 

 

READ MORE: 

 

Uamusi huu ulifikiwa baada ya kesi iliyochukua miaka kumi na mitatu kortini.  

 

Mashamba ya wakulima sehemu ya Niger Delta yaliharibiwa na mafuta yaliyomwagika kwa miaka mingi iliyopita. 

 

Wakulima wanne ndio waliopeleka kesi kortini na sasa korti imeamua watatu baina yao watapewa fidia. 

 

Wakulima wawili waliaga dunia ikikumbukwa kwamba kesi ilikaa kortini kwa miaka mingi. 

 

 

GOT a story? RING Kerosi Dotcom on +254 20 78 64348 or EMAIL info@kerosi.com

 

 

 

Verified by MonsterInsights